Wizara ya Afya inawasilisha mpango wa kupokea maoni kutoka vyama vya kitaaluma kwa ajili ya kuhusisha mwongozo wa matibabu na orodha ya taifa ya dawa muhimu(STG/NEMLIT) Toleo la sita la mwaka 2021.